IRINGA DC ANNOUNCEMENT FOR INTERVIEW (TANGAZO LA USAILI IRINGA DC - PDF) - MTAHINI [EDUCATION MAKTABA]

Sunday, 28 April 2019

IRINGA DC ANNOUNCEMENT FOR INTERVIEW (TANGAZO LA USAILI IRINGA DC - PDF)TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
 KUFUATIA TANGAZO LAKE LA TAREHE 08.02.2019 ALILOLITOA KATIKA TOVUTI YA SEKRETARIETI YA AJIRA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA ANAWATANGAZIA WAOMBAJI WOTE WENYE SIFA KATIKA KADA ZA WATENDAJI WA VIJIJI, KATIBU MUHTASI NA MADEREVA KUWA USAILI WA KUANDIKA (MCHUJO) UTAFANYIKA TAREHE 02.05.2019 KATIKA CHUO CHA UALIMU KLERUU KUANZIA SAA MBILI KAMILI ASUBUHI (02:00) NA KUFUATIWA NA USAILI WA MAHOJIANO UTAKAOFANYIKA TAREHE 04.05.2019 KATIKA OFISI ZA SIASA NI KILIMO ZILIZOPO KATIKA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA. 1.KADA YA WATENDAJI WA VIJIJI.SOURCE at www.ajira.go.tz

No comments:

Post a Comment

close
Banner iklan disini