PHOTOLITHOGRAPHY-RE-ADVERTISED (4.0 FUNDI SANIFU DARAJA II- ARDHI II)-2 POST - MTAHINI [EDUCATION MAKTABA]

Tuesday 31 March 2020

PHOTOLITHOGRAPHY-RE-ADVERTISED (4.0 FUNDI SANIFU DARAJA II- ARDHI II)-2 POST


POST CATEGORY(S)
- LAND MANAGEMENT

EMPLOYER
- MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE:
 -From 2020-03-31 to 2020-04-13

 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
 Preparing mapping materials, books, brochures, etc.
(Kuandaa vifaa vya uchapaji wa ramani,vitabu,vipeperushi n.k)
 
· Provides photocopies of aerial photographs in various sizes
(Kutoa nakala za picha za anga katika uwiano mbalimbali)
 
· Make preparations for mapping and aerial photography.
(Kupanga maandalizi yanayohusu upigaji wa ramani na picha za anga.)
· Printing maps.
  ( Kuchapa ramani.)

 QUALIFICATION AND EXPERIENCE
 -Hire four or six-year graduates with a two-year vocational training certificate in the field of Photolithography from state-recognized colleges.
 (Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye cheti cha mafunzo ya ufundi ya miaka miwili katika fani ya Uchapaji Ramani (photolithography) kutoka kwenye vyuo vinavyotambuliwa na serikali.)

REMUNERATION
 -TGS.C

Login to Apply

No comments:

Post a Comment

close
Banner iklan disini