Job vacancy at Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi-Two jobs Categores - MTAHINI [EDUCATION MAKTABA]

Tuesday 7 November 2023

Job vacancy at Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi-Two jobs Categores

 

POST DEREVA DARAJA LA II - 14 POST

EMPLOYER Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

APPLICATION TIMELINE: 2023-11-03 2023-11-16

JOB SUMMARY NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

 i Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;


ii Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;


iii Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;


iv  Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;


v  Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;


vi Kufanya usafi wa gari; na


vii Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. 


REMUNERATION TGS B

    Login to Apply


POST MTHAMINI II(VALUER II) - 28 POST

EMPLOYER Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

APPLICATION TIMELINE: 2023-11-03 2023-11-16

JOB SUMMARY NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  i.   Kukusanya taarifa za utafiti na mwenendo wa soko la ardhi;


ii.    Kuhakiki kumbukumbu za utafiti na kuziingiza kwenye kompyuta; na


iii.   Kufanya kazi nyingine kadiri atakavyoelekezwa na Msimamizi wa kazi.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE

       Kuajiriwa wenye Shahada/Stahahada ya juu katika fani ya “Land Management and Valuation” kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali katika fani za Usimamizi Ardhi na Uthamini au

Kuajiriwa wenye cheti cha NCPS katika fani ya Usimamizi Ardhi na Uthamini

REMUNERATION TGS E

 Login to Apply


No comments:

Post a Comment

close
Banner iklan disini